Msukuma: Lipumba anaifanyia CCM kazi nzuri

"Mwanasiana wa upinzani anayenivutia ni Profesa Lipumba anajua hesabu za kuvuruga vyama nampenda sana, Lipumba yeye na Sakaya ni mabingwa wa kutibua siasa anajua kupiga hesabu za kuchekecha vyama, anaifanyia kazi nzuri CCM, hata kufarakana kwa CHADEMA na CUF ni mzimu wa Lipumba". - Joseph Musukuma


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo