Mchungaji afariki baada ya kumuombea Mgonjwa

Wananchi wa Jamhuri ya Kidemakrasia ya Congo wameendelea Kupukutika Wakifa Kwa Gonjwa Hatari la EBOLA.

Wananchi wa Congo Wanadaiwa Kukataa Matibabu ya Ugonjwa Huo Kwa Kudai Kuwa Wamelogwa Kwahiyo Wanatakiwa Kuombewa Badala Ya Kwenda Hospitali.

Wiki Iliyopita Mchungaj Mmoja Ameambukizwa ugonjwa huo Na Kufarik Dunia kwa EBOLA Baada Ya Kumuombea Mgonjwa Wa EBOLA.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo