Vijana watatu kati ya sita waliotekwa kutoka majumbani mwao huko Mtambwe kaskazini mwa kisiwa cha Pemba, wamesimulia mkasa mzima ulivyowatokea tangu walipovamiwa majumbani mwao usiku wa kuamkia Ijumaa (Aprili 6) hadi walipotupwa jana kwenye maeneo ya Ngwachani, kusini mwa kisiwa hicho. Sikiliza kwa kubofya play hapo chini:-
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube