Aliyekuwa diwani wa Kata ya Isapulano kupitia CHADEMA Mh
Alphonce Mbilinyi ambaye hapo jana alihamia CCM amesema bado anataani kuwa
diwani wa kata hiyo
Akizungumza katika mahojiano na Mwandishi wetu diwani huyo
amesema wnanchi wake wanafahamu alikowatoa kimaendeleo hivyo bado anapenda kuwa
diwani na anatarajia watakutana miezi michache ijayo endapo atapewa ridhaa na
chama chake
Tazama Video hii hapa Chini:-