skip to main |
skip to sidebar
CHADEMA: "Serikali haiumii kupoteza raia wake bali inaumia raia aliyekufa amepoteza mkopo"
"Serikali haiumii kupoteza raia wake bali inaumia raia aliyekufa amepoteza mkopo, unaweza ukashangaa sana, eti Serikali wao wanasikitishwa kwa sababu Serikali imetumia pesa nyingi kumgharamia mwanafunzi huyu ni mnufaika wa mkopo" John Mrema
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi