skip to main |
skip to sidebar
Kamanda Mambosasa: Tunamtafuta Mbowe
Kamanda wa Jeshi la Polisi Lazaro Mambosasa amesema Jeshi la Polisi linawashikilia Askari 6 ambao wametumia Silaha za moto katika kudhibiti waandamanaji Kinondoni Dar
Kamanda Mambosasa, amesema kuwa "Tendo lililompata Binti(Aqulina Akwilini) ni la bahati mbaya sana, kwani wale Wawili waliojeruhiwa walikuwa eneo la tukio,"
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Lazaro Mambosasa amesema wanamtafuta Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikael Mbowe ili wamfikishe katika vyombo vya sheria. Na kuongeza kuwa CHADEMA ndio walitumia nguvu kubwa kuwazuia Askari kutekeleza Majukumu
Chanzo:Millard Ayo
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi