Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo amemwagiza Mkurugenzi mkoani humo kuwapangia kazi nyingine wakuu wa Idara ya Mipango Miji Manispaa ya Ilala, Paul Mbembela na wa Ubungo, Hamis Songwe. Pia Kaimu Mkuu idara ya maendeleo na ustawi wa jamii Ilala, Sapensia Masawe atapangiwa kazi nyingine kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake Kufuatia agizo hilo, Paul Mbembela alianguka na kukimbizwa hospitali kwa matibabu. Mkutano huo ulenga kurejesha majibu kwa wakazi wa Dar es salaam waliodhulumiwa mali zao tofauti
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube