Rapper Ambwene Yessayah maarufu kama AY amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi, Remy.
Wawili hao wamefunga ndoa leo nchini Rwanda ambako ndipo anatokea Remy. Bado AY au watu wake wa karibu hawajaposti katika mitandao ya kijamii kuelezea hilo.
Wawili hao wamefunga ndoa leo nchini Rwanda ambako ndipo anatokea Remy. Bado AY au watu wake wa karibu hawajaposti katika mitandao ya kijamii kuelezea hilo.
July mwaka jana, 2017 ndipo AY alimvisha pete ya uchumba Remy na tukio hilo ilihudhuriwa na watu wa karibu wa wawili hao.