Ndalichako: "Mbona TBA Mnataka kujenga Nyumba za Kifisadi?" (VIDEO)

Waziri wa elimu na Mafunzo ya Ufundi Prof Joyce Ndalichako amewataka wakala wa Majengo Nchini TBA wanaojenga nyumba nne za walichu Chuo cha VETA Makete kuacha kujenga nyumba za kifisadi

Ameyasema hayo akiwa chuoni hapo kujionea ujenzi huo unavyoendelea na kushangazwa na taarifa inayosema kuwa nyumba moja itajengwa kwa zaidi ya shilingi milioni 160

Mtazame kwa kubonyeza play hapo chini:-


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo