Polepole: Wakienda Chadema vicheko, Wakija CCM utasikia wanalialia

Kupitia ukurasa wake wa twitter Polepole ameandika "Akihama kutoka CCM kwenda kwako, kicheko mpaka magego ambayo hayatumiki yanakuwa wazi.. Wakihama kuja kwetu kwa wimbi, utasikia wanalialia kila kona, oo sijui demokrasia, oo sijui gharama, oo sijui wamenunuliwa, oo sijui muwe na huruma, oo sijui upinzani unapawa kuwa sijui nini..


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo