Mawaziri wenye dhamana ya umeme sasa warekebishe hili tatizo la kukatika katika kwa umeme. Vinginevyo nikiingia nitaanza nao. - @MagufuliJP
— Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) October 6, 2015
Tatizo la umeme limeongezeka muda huu wa kampeni. Kama watendaji wanadhani hili litanipunguzia kura, nikiapishwa wajiandae. - @MagufuliJP
— Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) October 6, 2015
Wanaoleta fujo hapa Arusha hawakai hapa. Wana Arusha hawataki fujo na vurugu, wanataka maendeleo. - Dkt @MagufuliJP
— Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) October 6, 2015
Kuna tatizo la njaa Monduli sababu mvua hazikunyesha. Awamu yangu nitasimamia akiba ya chakula, hakuna atakayekufa kwa njaa. - @MagufuliJP
— Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) October 6, 2015
Mawaziri wangu nitakaowateua kazi wanayo. Mimi nililala kwenye madaraja na kuanguka kwa helkopta nikihudumia Watanzania. - Dkt @MagufuliJP
— Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) October 5, 2015
Wakiwapa hela zao kuleni, sababu ni zenu waliwaibia, wanawarudishia, na nitawashughulikia; ila siku ya kura mpigie Magufuli. - @MagufuliJP
— Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) October 5, 2015