BAKWATA lakiri kudaiwa milioni 176 na kushindwa kulipa mishahara ya wafanyakazi wake

Msemaji wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Sheikh Khamis Mataka ameeleza kuwa ni kweli baraza hilo linakabiliwa na hali ngumu kifedha kiasi cha kushindwa kulipa mishahara ya wafanyakazi wake.

Hata hivyo, amekanusha kuwepo kwa njama za kumuondoa Kiongozi wao Mkuu (Mufti Abubakar) kama taarifa zinavyosambaa

Aidha, Akiri BAKWATA kudaiwa jumla ya shilingi milioni 176..


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo