Naibu Katibu Mkuu (CHADEMA) Bara na Mbunge wa Jimbo Kibamba, Mhe. John Mnyika pamoja na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Mhe. Aron Moye wa Mji Mpya wamewawezesha akina mama katika Mtaa huo Jimbo la Kibamba kwa kufungu Chuo cha ufundi wa kushona. pic.twitter.com/lqORyoI6pE— CHADEMA MEDIA (@ChademaMedia) December 16, 2017
Uamuzi wa Mbunge John Mnyika hii leo
By
Edmo Online
at
Saturday, December 16, 2017