Aliyewahi kuwa Mbunge na Naibu Waziri baadaye kuhamia CHADEMA kabla ya kutimkia UDP, Dkt.Goodluck Ole Medeye arudi CCM
Mwaka 2015 Ole Medeye alihamia CHADEMA na baadaye akagombea U spika wa bunge na kushindwa na Job Ndugai
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi