CCM yashinda kata nne Arumeru Mashariki


Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeshinda kata nne za Arumeru Mashari ambazo wagombea wa Chadema wamejitoa.

Kata hizo na matokeo yake ni kama ifuatavyo, Makiba Samson Laizer (CCM) kura 2,029 na Joyce Martin (Chadema) kura 608.

Kata ya Ambuleni, Jasephat Jackson (CCM) kura 2,057 na
Dominick Mollel (Chadema) kura 1,201. 

Kata ya Leguruki Andason Sikawa (CCM) kura 3,023 na Daniel Mbise(Chadema) kura 287.

Kata ya Maroroni, Yoha Kaaya (CCM) kura 3,568 na Asanterabi Mbise (Chadema) 1,201.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo