Na Kenneth
Ngelesi, Mbeya
MKUU wa Mkoa wa Mbeya Abasi Kandoro ameawagiza wakuu wote wa
idara katika halmashauri za wilaya kuakiki majina ya watumisaha kabla ya
kupeleka kwa wahasibu ili kuokoa mamilioni
ya fedha yanayo tokana udanganyifu wa
malipo hewa ya mishara.
Wito huo ulitolewa jana kwa wakuu wa idara katika kikao maalumu
cha baraza la madiwani wa jiji la Mbeya kilicho keti juzi katika ukumbi wa mikutano
wa Mkapa kwa ajili yha kupitia taarifa ya mkaguzi wa hesabu za serikali.
Mkuu hyo wa Mkoa alisema kuwa kabla ya kufanya malipo kwa
watumishi wa halmashauri ni vema wakuu wa idara wakaji ridhishisha wa na kujua ni
watumishi wanagpi wano pashwa kulipwa ili kuepuka utanaganyifu kama uliyo
fanywa na Mhasibu mwandamizi wa jiji la
Mbeya Sara Kibona amabaye hivi karibuni amefukuzwa na baraza a la madiwani kwa kuso na kutafuna zaidi ya mil 35 mishahara hewa.
Alisema katika halmshauri zaidi ya tatu alizo pita tatizo la
miushara hewa amnekuwa akikumbana nalo na kuagioza zioezi la kuahihiki majina
ya watumishi lianze kufanyika kabla ya
miezi miliwi na kwamba baada ya miezi milwili atalazimika kupitia
ilikujirdhsiha kama wakuu hao wa idara wameanza kutekeleza agizo hilo.
Kandoro alisem kuwa mkuu wa idara yeyote atakaye bainika na
kupitisha jina la mtumishi ambaye hakupswwa kulipwa kwa taitizo la kifo serikari haitasita kumchulia hatua ikiwa ni
pamoja kulipa fedha ziatakazo kuwa
zimepotea kawa uzembe wake.
Aidha katika hatua nyinginev Mkuu huyo wa Mkoa aliionya
idara ya ardhi ya jiji Mbeya kwa kusababisha migogo isio kuwa ya lazima kwa kuuza vianja zaidi ya mara Mbili.
Alisema moja ya kesi zinapelerkwa katika ofisi yake nyingi
zinatoka katika idara ya ardhi na hilo limekuwa likiusbabishwa na maafisa
kutoka idra hiyo.
Mkuu huyto wa mkoa amekuwa na ziara katika halmashauri zote
za mkoa wa Mbeya kwa ajili kupitia taarifa ya Mkaguzi wa hesabui za serikari
am,abpo hadi sasa ameshapitia wilaya nne ambazo ni Kyela, Rungwe,Mbrali, Jiji
na Mbeya Vijijni na kubaini taztizo hilo.