Picha 18: Mahafali ya Darasa la 7 Shule ya Msingi Ilindiwe Makete



 Ngoma ya wanafunzi ikichezwa
 Wahitimu 6 wa darasa la 7 mwaka huu
 Mwalimu Mkuu wa shule hiyo akitoa taarifa fupi kuhusu ufaulu wa wanafunzi hao
 Ngoma zikipigwa
 Mhitimu akipokea cheti chake




 Wahitimu hao baada ya kupokea vyeti vyao



 Mweyekiti wa Kijiji Yosophat Idawa akikiri kupokea wahitimu hao mara baada ya kukabidhiwa na mwalimu Mkuu
 Mengi Chalamila Afisa mtendaji wa kata ya Mang'oto akizungumza kwenye mahafali hayo
Mgeni Rasmi Diwani wa Kata ya Mang'oto Mh. Osmund Idawa akihutubia katika mahafali hayo


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo