Halmashauri ya wilaya ya Makete imelazimika kutoa ufafanizi wa zoezi la uandikishaji vitambulisho vya taifa kuendeshwa kimya kimya bila hamasa kama ilivyozoeleka
Mratibu wa zoezi hilo Mwl Orgen Sanga amesema mpaka Leo zaidi ya wananchi 11136 wameshasajiliwa katika kata 6 za wilaya Hiyo
Amesema kwa sasa wameshaandaa ratiba ambayo itawasilishwa kwenye baraza LA madiwani litakaloketi wiki hii na baada ya hapo wanatarajia hamasa itakuwa kubwa zaidi ili wananchi walifahamu zoezi hilo
Bonyeza play hapo chini umsikilize:-