Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Humphrey Polepole amesema ni haki ya mwanachama yeyote wa CCM kuondoka kwenye chama hicho
Polepole amesema tuhuma alizozitoa Lazaro Nyalandu dhidi ya CCM hii leo wakati anakihama chama hicho si za kweli
Sikiliza video hii hapa chini:-
Ibara ya 20 inatoa uhuru kwa mtu kujiunga na Chama chochote na kuondoka kwa hiari. Hii ndio demokrasia.— Humphrey Polepole (@hpolepole) October 30, 2017
CCM Mpya 🇹🇿Mpya#TweetLikePolepole pic.twitter.com/a3jto2yfQE