Katika Ukurasa wake wa twitter Nape amesema suala hilo halina ukweli na wananchi wapuuzea habari hito
Angalia hiki hapa chini alichokiandika
Acheni kupiga ramli juu ya kesho yangu!! Kisa mnatafuta vyeo na hamuwezi kutumia akili kufikiri! Sina press conference kesho! pic.twitter.com/sJJhttbepN— Nape Moses Nnauye (@Nnauye_Nape) October 30, 2017