Mwanaume mmoja nchini India ametoa talaka na kumpa mke wake baada ya kumtuhumu kutenda kosa la kuchinja kuku mwenye vifaranga katika sikukuu ya Krismasi Desemba 25 mwaka uliopita.
Tukio hilo linadaiwan kufanywa na mke wake kwa kuchinja kuku huyo mwenye vifaranga ambapo mume huyo amelazimika kuchukua likizo maalum kazini kwake ili kuweza kulea vifaranga hadi vikue.
Namna ya kulea vifaranga hivyo ni kuwapatia chakula lakini kuwa karibu nao kama picha inavyoonyesha akiwa nao kitandani kama sehemu ya kuwaondoa upweke vifaranga hivyo.