Donald Trump Achukua nchi, Ashinda urais Wa Marekani



Mgombea kiti cha rais wa chama cha Demokratik Hillary Clinton, amempigia simu mpinzani wake Donald Trump wa chama cha Republican kukubali kushindwa katika uchaguzi wa rais
may usiku wa Jumanne mwenyekiti wa kampeni ya  Clinton, John Podesta aliwataka mamia ya mashabiki walokusanyika katika ukumbi mjini New York kurudi nyumbani na kwamba mgombea wao hatazungumza mfupi baadae mgombea mwenza wa chama wa Trump Mike Pence amewashukuru wafuasi na kumkaribisha rais mteule wa 45 wa marekani. 

Hii ikiwa ni tukio la kihistoria Marekani kwa mtu ambae hajawahi kushika nafasi au wadhifa wowote wa serikali kuchaguliwa kuliongoza taifa kuu la duniaTrump akiwahutubia wafuasi hao huko New York amesema Hillary amermpigia simu na kumpongeza. Mfanyabiashara huyo ametoa wito kwas wamarekani wa pande zote kuungana na kufanya kazi pamoja.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo