Moja ya habari kubwa zilizoshitua leo ni uamuzi wa msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Francis Mutungi kuvifutia usajili vyama vitatu vya siasa
Peter Mziray ni miongoni mwa viongozi wakubwa wa chama kilichofutiwa usajili, ambaye amenukuliwa na mtandao huu akihojiwa na kituo cha televisheni cha AZAM TV akitupa lawama zake kwa msajili huyo kuwa hajatenda haki, na kuna mengine ameyafumbia macho na amelikazania hilo tu
Sikiliza mahojiano hayo hapa chini