Katibu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Neville Meena amezungumza kwa mara ya kwanza maoni yake baada ya Bunge kupitisha muswada wa sheria ya kupata habari wa 2016 na kutoka maoni yake
Amezungumza na kunukuliwa wakati akihojiwa na idhaa ya kiswahili ya BBC
Sikiliza sauti yake hapa chini:-