Siku chache baada ya bunge kupitisha muswada wa habari mwaka 2016, Makamu mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Tanzania (TEF) Deodatus Balile amenukuliwa na mtandao huu akifanya mahojiano na Idhaa ya kiswahili ya BBC na kuzungumza maoni yake baada ya muswada huo kupita
Sikiliza sauti yake hapo chini