Baada ya polisi kufanya kazi yao na kurhusu ndugu wa marehemu kuendelea na shughuli za mazishi, kilichofuata ni kuuchukua mwili wa marehemu kutoka eneo la tukio na kuupeleka nyumbani kwa ajili ya taratibu nyingine.Picha hizi zinaonesha mwili ukiondolewa eneo la tukio
Bonyeza hapa kusoma habari kamili au bonyeza hapa kuona Picha za mwili wa Marehemu






