Angalia Picha 11 za Kijana aliyefariki Dunia Baada ya kunywa Viroba 14 Makete Njombe

Mwili wa marehemu Edward Sanga (20) mkazi wa kijiji cha Lupalilo Makete mkoani Njombe baada ya kufariki dunia jana kutokana na kunywa pombe kali aina ya Valuu pakiti 14


 Wananchi wakiwa eneo la tukio
 Wananchi wakiwa wameshikilia moja ya pakiti ya pombe aliyokunywa kijana huyo kabla ya Kufariki dunia
 Wananchi wakisaidiana na jeshi la polisi kuukagua mwili wa Marehemu 
 Mwili wa marehemu Edward Sanga

 Polisi wakiwa kazini kufanya mahojiano na ndugu na viongozi wa kata kuhusu tukio hilo

Afisa mtendaji wa kata akitoa matangazo kwa wananchi waliofika eneo la tukio


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo