Mama wa miaka 52 akiri kufanya mapenzi na mtoto wake

Mama mmoja aliye na miaka hamsini na mbili amekiri kuwa na uhusiano wa kimapenzi  na mwanawe.

Yvonne Banda, kutoka Zambia amekiri kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanawe na kusema kuwa hufanya mapenzi naye kila jumatano kama taratibu za tambiko.


Mama huyo amesema kuwa alianza kufanya hivyo na mwanawe, Abel, tangu mwaka elfu mbili na mbili baada ya kuamrishwa na mganga.


Aitha, amesema kuwa ‘shughuli’ hiyo imeisaidia bishara yake kunawiri, ijapokuwa anasema kuwa inamfanya kupoteza nguvu.


Akieleza katika misa ya kanisa moja nchini humo, Banda amesema kuwa ameshindwa kuacha kufanya mapenzi na mwanawe kwa woga kuwa atapoteza utajiri wake.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo