Juzi kati katika kijiji cha Tandala Makete mkoani Njombe watuhumiwa wa
wizi walikamatwa na kupelekwa kwao wakiwa na wananchi na polisi
kukaguliwa zipatikane mali za wizai wanazodaiwa kuiba, hali ilibadilika
baada kufika kwa mtuhumiwa mmoja anakoishi ikaonekana bangi imelimwa
katika shamba la mahindi lililopo mkabala na anapoishi, Matokeo ni kuwa
kesi zikaongezeka kwake, kwanza wizi pili analima bangi, Angalia picha
hizi
Bangi imestawi balaa