Kofia ya marehemu iliyokutwa eneo alipouawa na mwili wake kwenda kutelekezwa sehemu ningine
Wananchi wakielekea eneo ulipokutwa mwili huo umetelekezwa
Wananchi wakiwa eneo ulipokutwa mwili
Mwili huo wa marehemu
Polisi Makete wakitekeleza wajibu wao eneo la tukio ulipokutwa mwili huo
Daktari akianza kazi ya kuuchunguza mwili wa marehemu
Daktari akizungumza na polisi baada ya kumaliza kuuchunguza mwili huo
Mwili huo baada ya kufanyiwa uchunguzi na daktari na jeshi la polisi
umati wa watu uliofika eneo la tukio
ndugu wakiondoka eneo la tukio kwa huzuni
watu wakiwa nyumbani kwa marehemu
wananchi wakiangalia eneo mauaji yalipotokea
mwili huo ukipelekwa kuzikwa
Afisa Mtendaji wa kata ya Kitulo Bw Christopher Fungo akiongea msibani hapo
Ukaguzi ukifanywa na polisi nyumbani kwa mtuhumiwa aitwae Nipe Ngogo ambae amekimbia na anatafutwa
Polisi wakitoa angalizo kwa wananchi kuhusu tukio hilo
Bw. Masini Anatory kaimu mganga mfawidhi wa hospitali ya wilaya ya Makete ambaye ameufanyia uchunguzi mwili wa marehemu akiongea nasi
Polisi wakiondoka eneo la tukio
Mwananchi wa Ujuni akiongelea tukio hilo
Diwani Asifiwe Mahenge akiongea nasi
Kusoma habari hiyo na kusikiliza sauti za tukio hilo Bonyeza hapa