Mkuu wa mkoa wa Njombe Dkt Rehema Nchimbi(kulia) akiwasili kwenye viwanja vya shule ya Msingi Usungilo kata ya Mang'oto wilayani Makete mkoani Njombe wakati akikagua maendeleo ya utekelezaji wa TASAF awamu ya tatu, kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Makete Mh Daudi Yassin
Mkuu wa mkoa wa Njombe Dkt Rehema Nchimbi akisalimiana na Mratibu wa TASAF wilaya ya Makete Jackline Mrosso
Kutoka kushoto Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Makete Mh. Egnatio Mtawa, Mkuu wa mkoa wa Njombe Dkt Rehema Nchimbi na mkuu wa wilaya ya Makete Mh Daudi Yassin
Mkuu wa mkoa wa Njombe Dkt Rehema Nchimbi akizungumza na wanufaika wa mradi wa TASAF awamu ya tatu katika kijiji cha Usungilo wilayani makete
Mnufaika wa TASAF awamu ya tatu akizungumza jinsi alivyonufaika
Maarufu kwa jina la Bob Marley naye hakuwa nyuma kuelezea mafanikio ya TASAF awamu ya tatu
Mkuu wa wilaya ya Makete Mh Daud Yassin akifafanua jambo kwenye ziara hiyo ya mkuu wa mkoa
Mkuu wa mkoa wa Njombe Mh Dkt Rehema Nchimbi akimuagiza jambo Afisa Tarafa ya Lupalilo Bw Kyando
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Makete Mh Egnatio Mtawa akitolea ufafanuzi wa baadhi ya mambo yaliyoagizwa na mkuu wa mkoa