skip to main |
skip to sidebar
Picha za Rais Magufuli akiwaapisha mawaziri wengine aliowateua hivi karibuni

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais, Waziri Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Katibu Mkuu Wa Kiongozi
walioketi katika picha ya Pamoja na Mawaziri walio simama baada ya
kuwapisha Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 28,2015 (kwa habari picha
bonyeza Ikulu Blog)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Profesa Jumanne Maghembe kuwa Waziri wa Maliasilina Utalii Desemba
28,2015 Ikulu jijini Dar es salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Prof. Makame Mbarawa baada ya kumhamisha kutoka Wizara
ya Maji na Umwagiliaji na kwenda kuwa Waziri katika Wizara ya Ujenzi,
uchukuzi na Mawasiliano
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Dkt. Philip Mpango – kuwa Waziri wa Fedha na Mipango
Desemba 28,2015 Ikulu jijini Dar es salaam (Ni baada ya kumteua kuwa
Mbunge)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Dkt. Joyce Ndalichako kuwa Waziri wa Elimu, Sayansi,
Teknolojia na Ufundi Desemba 28,2015 Ikulu jijini Dar es salaam (Ni
baada ya kumteua kuwa Mbunge)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Mhandisi Gerson Lwenge kuwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji
Desemba 28,2015 Ikulu jijini Dar es salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Mheshimiwa Hamad Masauni kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani
ya Nchi Desemba 28,2015 Ikulu jijini Dar es salaam
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi