Mara nyingi kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na chama cha walimu (CWT) hapa nchini, kwa kiasi kikubwa zimekuwa zikikumbushia madai yao kwa serikali
Hali hiyo imekumbushwa tena na chama cha walimu wilaya ya Makete mkoani Njombe kupitia kwa katibu wake Bi Elizabeth Sikawe katika mahojiano maalum na mwandishi wa Eddy Blog, kama sauti hiyo hapo chini inavvyoweka mambo hadharani