Mgojwa huyu ni ndugu Chacha Makenge ambaye habari zake zilitangazwa katika vyombo mbalimbali vya habari mwaka 2013 kujichimbia handaki aliloligeuza makazi yake, katika eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya Mlimani.
Unaweza kurejea habari hiyo kwa kutizama video hapa ama picha na kusoma maandishi hapa.
