Video ya Askofu Gwajima akiongea na Waandishi leo September 08,2015 na kumjibu Dr. Slaa.


Siku chache baada ya aliyekuwa Kiongozi wa Chama cha CHADEMA, Dk. Wilbrod Slaa kutangaza kwamba ameamua kuachana na Siasa, hiyo ilikuwa siku kadhaa baada ya Dk. Slaa kutoonekana kwenye Mikutano pamoja na Vikao vya CHADEMA pamoja na Vyama vya UKAWA, stori ambazo zinamtaja yeye bado hazijaacha kuibuka.




Kulikuwa na madai ambayo yaliripotiwa na Vyombo vya Habari pamoja na kuandikwa sana Magazetini na Mitandaoni pia ambapo Maaskofu walitajwa kuhusishwa na Rushwa… Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,Askofu Josephat Gwajima kaongea Dar es Salaam… Kujua  alichokisema BONYEZA VIDEO HAPO CHINI.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo