Michuzi Blog yaadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwake

 Maadhimisho ya Miaka 10 ya uanzishwaji wa MICHUZI BLOG hapa nchini chini ya Mkurugezi wake Ankal  Muhidini Issa Michuzi iliyofanyika ofisini kwake jijini Dra es Salaam leo.
 Keki  ya maadhimisho ya miaka  1o ya MICHUZI BLOG ikiwa na keki zenye majina ya wafanyakazi wa MICHUZI MEDIA GROUP.
 Mr na Mrs Michuzi wakikata keki ya maadhimisho ya miaka 10, wakishuhudiwa nabaadhi ya wafanyakazi wa MICHUZI MEDIA GROUP.
Mkurugezi wa MICHUZI MEDIA GROUP, Ankal  Muhidini Issa Michuzi akilishwa keki na mkewe  katika hafra fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
 Mkurugezi wa MICHUZI MEDIA GROUP, Ankal  Muhidini Issa Michuzi akilmlisha keki mkewe.
Mkurugezi wa MICHUZI MEDIA GROUP, Ankal  Muhidini Issa Michuzi akimlisha keki Mtangazaji na muandaaji wa kipindi cha DANGA CHEE, Shamsa Danga ndani ya Michuzi TV online katika hafla hiyo.
 Mpiga picha wa Michuzi Blog, Avila Kakingo akifungua shampeini katika hafra hiyo.
 Mpiga picha wa Michuzi Blog, Avila Kakingo akiwamiminia shampeini katika hafla hiyo.
 Wafanyakazi wa MICHUZI MEDIA  GROUP wakiwa na keki zao.
Baadhi ya wafanyakazi wa MICHUZI MEDIA  GROUP wakiwa katika picha ya pamoja.



 Mkurugezi wa MICHUZI MEDIA GROUP, Ankal  Muhidini Issa Michuzia akiwalisha keki wafanyakazi wa MICHUZI BLOG jijini Dar es Salaam leo.
 Wafanyakazi wa MICHUZI MEDIA  GROUP wakiwa na keki zao.
Baadhi ya wafanyakazi wa MICHUZI MEDIA  GROUP wakiwa katika picha ya pamoja.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo