Wanafunzi wasoma kwa awamu baada ya shule kukosa madarasa

Wanafunzi wa Shule za Msingi Kisiwa kilichopo Ukerewe Mwanza  wanasoma kwa zamu kutokana na ukosefu wa madarasa.
Hali ya Wanafunzi kupata elimu ni jambo la msingi lakini miundombinu hairidhishi, shule yetu ina majengo mawili yenye vyumba vine vya madarasa, wanafunzi wanasoma kwa zamu”—Mwenyekiti wa Kitongoji, Muzumari Kasanzila.
Mwenyekiti huyo amesema Diwani wa Kata yao amehamia Morogoro na MbungeSalvatory Machemuli hajafika muda mrefu kisiwani hapo hivyo hajui matatizo ya Wananchi wake.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo