Bao la Mkono lazidi kuwa gumzo kwa Jaji mstaafu Damian Lubuva

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya NEC amesema wanapinga kauli ya ushindi wa bao la mkono iliyotolewa na Nape Nnauye, na kukanusha uvumi ulioenea kwamba wanataka kuchakachua matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015.
Tunasikitishwa na matamshi kama haya ya bao la mkono na mengineyo, nawasihi wanasiasa na Viongozi kuepuka kauli za aina hii kwa sababu wakati mwingine matamshi yanatafsiriwa tofauti”— Jaji Damian Lubuva.
Wakati huohuo Tume hiyo imesema zoezi la Wagombea Urais kuchukua Fomu linaanza leo ambapo Fomu hizo zinatolewa bure ila zitakaporudisha Wagombea watatakiwa kulipia dhamana ya Milioni moja.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo