Video ya ‘Cheza kwa Madoido’ ya Yamoto Band tayari ipo hewani, Iangalie hapa

Yamoto Band walisafiri hadi Afrika Kusini kufanikisha Video ya ngoma yao mpya ya‘Cheza kwa Madoido’ chini ya Mtayarishaji GodFather.
Diamond Platnumz ndiye aliyefanikisha video hiyo kwa kiasi kikubwa kuweza kufanyika Afrika Kusini baada ya kuwakutanisha na GodFather na kugharamia.
Nakukaribisha uitazame hapa


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo