Siku chache baada ya kumnasa Juma Kaseja, Mbeya City kufanya hili


Na Rahim Sakabona.
Timu ya soka ya Mbeya Cty wazee wa koma kumywanya kutoka mkoani Mbeya jumapili ya tarehe 22/8/2015 inategemea kusafari kwenda Wilayani Kyela kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Tukuyu Stars.

Mchezo huo wa kirafiki utapigwa katika uwanja wa Mwakangale Stadium uliopo wilayani hapo ikiwa ni maandalizi ya ligi kuu Tanzania Bara kwa Mbaya Cty na maandalizi ya ligi ya mkoa dalaja la tatu kwa Tukuyu Stars.

Mbeya cty utakuwa mchezo wao wa kwanza kwa tangu walipo kubali kipigo cha goli tatu kwa mbili kutoka kwa watoto wa Jangwani Dar es salaam Young African mchezo ulipigwa dimba la Sokoine.

Watoto hao wa Juma Mwambusye wata mtambulisha rasmi mlinda mlango wao mpya Juma Kaseja alie saini mkataba wa miezi sita jana nakukubali kuvaa uzi wa zambaru wa vijana hao.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo