Kyela House Academy Sport Club kukipiga na Katumba Academy


Na Rahim Sakabona, Kyela.

Timu ya soka iliyo chini ya umri wa miaka 15 Kyela House Academy Sport Club yenye maskani yake hapo wilayani Kyela juma mosi hii ya tarehe 22/8/2015 inategemea kusafiri mpaka Katumba Songwe kukipiga na Katumba Academy.

Mchezo huo ni wakirafiki wenye lengo la kukuza viwango vya soka kwa watoto hapa wilayani Kyela umategema kuanza majira ya saa 10:30 za jioni katika uwanja wa Shule ya msingi Katumba.

Kocha mkuu wa Kyela House Academy Maiko Funga Mwango, amesema vijana wake wamejipanga vizuri kuhakikisha wanaibuka na ushindi katika mchezo huo.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo