Shilole awajibu BASATA kwa mfumo wa maswali

1.Kwanini barua imekuja baada ya kupost show yangu ya kwenda Marekani kufanya show?

2.Mmenifungia muziki wangu,Mnataka nikaishi wapi?na mnasema vijana tujiajiri,ajira niliyojiajiri ni hii mnataka nifanye ipi?

3.Nina familia ya watu 10 ndani kwangu,wote wananitegemea wengine wanasoma Boarding,nina watoto yatima wengine wanasoma kupitia muziki huu huu na ninalipa kodi ya nyumba,Mnataka Basata tufanye nini?
4.Ninahangaika,ninapambana na kazi zangu kwa nguvu zangu,Mnataka nikajiuze nipate ukimwi?mnataka nikabebe Dawa za kulevya nikauwawe?kwa sababu najituma kwa kazi yangu na nguvu yangu kama mnavyoona kwenye jukwaa hata vitabu vya Mungu vinasema asiyefanya kazi na asile.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo