Angalia video ya Lowassa alivyosindikizwa kuchukua fomu ya Urais CHADEMA

Ni muendelezo wa vichwa vya habari kumuhusu Edward Lowassa, Mbunge wa Monduli lakini pia Waziri mkuu wa zamani ambaye July 28 2015 alihamia rasmi CHADEMA akitokea chama cha CCM, July 30 2015 alijitokeza na kwenda kuchukua fomu ya kugombea Urais, itazame video yenyewe na alivyopokelewa hapa chini…


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo