
mwili wa marehemu huyo ukiwa kando ya mto huo.
Asubuhi Ya leo mtu mmoja amekutwa kando kando ya mto wa ilolo uliopo jijini mbeya akiwa amepoteza maisha,haijafahamika mpaka sasa ni kitu gani kilichomsibu mtu huyo mpaka kufukwa na mauti hayo. mpaka sasa hakuna alieweza kumtambua mtu huyo haifahamiki kuwa ni mkazi wa wapi.Kumradhi kwa picha
BONYEZA HAPA UONE PICHA ZAIDI