MAITI 15 ZAZIKWA KWENYE KABURI MOJA HUKO KIGOMA, ANGALIA PICHA HIZI

Mwenyekiti wa kijiji cha Kalilani Songoro Saidi akiweka mchanga  akiweka mchanga kwenye kaburi la raia wa 15 Kongo waliozikwa Kigoma.Miili 15 ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambao walifariki katika ajali ya meli kwenye Mkoa wa Kalemie nchini humo ilipatikana Kigoma na mazishi yamefanyika ambapo kwa upande wa Serikali Congo kulikuwa na muwakilishi ambaye ni Balozi mdogo Congo, Riki Molema.
Hizi ni baadhi ya picha wakati wa mazishi ya watu hao.
Naibu Balozi Mdogo wa ubalozi wa DRC mkoani Kigoma Riki Molema akizungumza na wananchi wa kijiji cha kalilani wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wakati wa mazishi ya watu hao.
Naibu Balozi Mdogo wa ubalozi wa DRC mkoani Kigoma Riki Molema akizungumza na wananchi wa kijiji cha kalilani wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wakati wa mazishi ya watu hao.
Mwenyekiti wa kijiji cha Kalilani Songoro Saidi akiweka mchanga  akiweka mchanga kwenye kaburi la raia wa 15 Kongo waliozikwa Kigoma.
Mwenyekiti wa kijiji cha Kalilani, Songoro Saidi akiweka mchanga
akiweka mchanga kwenye kaburi la raia wa 15 Congo waliozikwa Kigoma.
Mdogo wa ubalozi wa DRC mkoani Kigoma Riki Molema akiweka mchanga kwenye kaburi hilo.
Balozi mdogo wa ubalozi wa DRC, Riki Molema akiweka mchanga kwenye kaburi hilo.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo