baada
ya Mabishano makubwa kutokea kuhusiana na mechi ya leo ya Man u na
Chelsea huu ndio ulikuwa mwisho wa mabishano baada ya kuwekea dau juu
ya mechi hiyo,Baaada ya mashabiki wa Man u kutoa mawe na wa Chelsea
wakatoa creti ya bia, Utata huo umetokea leo hii Mkoani Dodoma katika
chuo kikuu cha Dodoma: |