Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye maadhimisho ya siku
ya Msanii yaliyofanyika jana usiku Octoba 25-2014 katika ukumbi wa Mlimani City
jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi tunzo Edward Said
Tingatinga msanii aliyejitolea maisha yake kwa Jamii, kwenye maadhimisho ya siku ya Msanii
yaliyofanyika jana usiku Octoba 25-2014 katika ukumbi wa Mlimani City jijini
Dar es salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi tunzo Josephat Kanuti msanii
aliyejitolea maisha yake katika tasnia ya sanaa Nchini, kwenye maadhimisho ya siku ya Msanii
yaliyofanyika jana usiku Octoba 25-2014 katika ukumbi wa Mlimani City jijini
Dar es salaam.
Wasanii wa ngoma kutoka Ukerewe wakitoa
burudani kwenye maadhimisho hayo.
Msanii wa tasnia ya taarab Isha Mashauzi
na kikundi chake nao walikuwepo kwenye maadhimisho ya siku ya msanii Mlimani
City.
Wasanii wa kikundi cha sarakasi nao
walionesha umahiri wao kwenye usiku wa maadhimisho hayo.
Wasanii wa kikundi cha sarakasi nao
walionesha umahiri wao kwenye usiku wa maadhimisho hayo.
Msanii Diamond na skwadi lake wakilishambulia jukwaa
Wasanii na wananchi mbalimbali
waliohudhuria kwenye maadhimisho hayo wakifuatilia kwa karibu matukio
mbalimbali yaliyokuwa yakifanyika kwenye ukumbi huo. (Picha na OMR).