PICHA: MWILI WA MAREHEMU GEORGE ‘TYSON’ WAAGWA KWA SIMANZI KUBWA

Monalisa akiuaga mwili wa Tyson.
Jeneza alimolazwa Tyson.
...Akitoa heshima za mwisho kwa marehemu baba yake.
Natasha, Sonia na Monalisa wakiwa na nyuso za huzuni wakati wa ibada kwa marehemu Tyson.
Mke wa marehemu Tyson aitwaye Beatrice Shayo (kulia) akiwa na dada yake.
Beatrice Shayo akilia kwa uchungu.
Jeneza lenye mwili wa marehemu George Otieno 'Tyson' likiwa Viwanja vya Leaders tayari kwa shughuli za kuagwa.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick (katikati) akiwa na Rais wa TAFF, Simon Mwakifwamba (wa kwanza kushoto) na Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere (wa pili kulia)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo