Gari limegonga mlango wa kioo wa Benki ya CRDB, mkoani Morogoro. Taarifa
zinasema kuwa dereva huyo alikuwa anataka kurudi nyuma kumbe alibonyeza
sehemu ya kuendeshea ndo akaishia kuingia CRBD bila hodi. Picha na
Taarifa News.
MAONO MAPYA BAADA YA RIPOTI YA JAJI CHANDE
1 hour ago
