Hapa ndipo jeneza lililobeba mwili wa Marehemu George Tyson litakapoka a kwa ajili ya kuagwa.
Utaratibu
huu umeandaliwa katika viwanja vya Leaders Club kwa lengo la kuwapa
fursa wakazi wa jiji la Dar es Salaam kupata nafasi za
kuuwaga mwili huo kabla ya kusafirishwa.
Meza
kuu hii ikiwa ni maandalia ya kuuwaga mwili wa George Tyson aliyefariki dunia kwa ajali ya gari na anatarajiwa kusafirishwa leo kwenda Kenya kwa mazishi.
Endelea kutufuatilia kwa habari zaidi(Picha na Pamoja Blog)